Home KITAIFA YANGA KWA SASA NI MWENDO WA “KUPIGA KICHWANI TU”

YANGA KWA SASA NI MWENDO WA “KUPIGA KICHWANI TU”

242
0
wiki ya wananchi

JIUNGE KWENYE WHATSAPP CHANNEL YA SIMULIZI ZA SAUTI ZA WAKUBWA TU BONYEZA HAPA KUJIUNGA

Meneja Habari na mawasiliano Klabu ya Yanga ametangaza kauli mbiu mpya kuelekea msimu mpya wa mashindano wa 2025/26 ikiwa ni siku chache kabla ya kuazimisha siku ya mwananchi septemba 12 mwaka huu.

“Wanayanga sasa wamevuka level ya kuwa na Slogan za kupeana matumaini, tumekubaliana huu ni msimu wa vitendo na tumegundua watu bado wanataka dozi, kuanzia sasa tunaenda kupiga kichwani tu.

“Hiyo ndio slogan yetu, Tukipiga kichwani tunacheza na ufahamu. Mwaka huu ni kichwa tu, tumeweka kabisa nyundo kwa ajili ya wale wanaokaza fuvu” Ally Kamwe .

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here