Klabu ya Simba imeripotiwa kupokea mwaliko kutoka nchini Rwanda wa klabu ya APR kucheza mechi ya kirafiki. APR ambayo itaiwakilisha Rwanda kwenye michuano ya ligi ya…
Browsing: Simba SC
FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC amekabidhiwa rungu la kufanya maamuzi kwa wachezaji ambao wanapaswa kuondoka katika kikosi hicho na wale ambao watabaki kwa msimu…
MABINGWA mara 31 ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC inatajwa kuwa imefikia makubaliano na kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola kwa ajili ya…
SIMBA SC iliyogotea nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC 2024/25 bado ipo kwenye mchakato wa kuendelea kujenga kikosi. Ikumbukwe…
Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumtoa kwa mkopo kiungo Omary Omary kwenda kuitumikia Mashujaa Fc kwa msimu ujao wa 2025/26. Omary anarejea Mashujaa Fc takribani mwaka…
SIMBA SC katika anga la kimataifa msimu wa 2024/25 imegotea nafasi ya pili kwa kupoteza mchezo wa fainali dhidi ya RS Berkane ya Morocco. Katika dakika…
Mpanzu wa Simba kwenye Rada za Waarabu INAELEZWA kuwa winga chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Fadlu Davids ndani ya kikosi cha Simba SC, Ellie Mpanzu…
Tetesi Za Usajili Simba Leo 2025/2026: Nani Anaingia? Nani Anatoka Msimbazi? Wakati pazia la msimu wa 2024/2025 likikaribia kufungwa, macho ya vilabu vikubwa barani Afrika tayari…
INAELEZWA kuwa Jean Ahoua kiungo mshambuliaji wa Simba SC chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Fadlu Davids kwenye mechi za ushindani ndani ya msimu wa 2024/25…
SIMBA imekataa ofa ya Sh 500Mil kutoka Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ya kumuuza kiungo wake mshambuliaji , Kibu Denis katika msimu ujao. Inaelezwa sababu ya…