WAKATI Azam FC ikimpigia hesabu aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Clatous Chama ikiwa ni pendekezo pia la kocha wa timu hiyo, Florent Ibenge, kikosi hicho kinakabiliwa na ushindani kutoka kwa Zesco United ya Zambia inayomuhitaji. Nyota huyo aliyezichezea timu mbalimbali zikiwemo Ittihad Alexan
YANGA inaendelea na marekebisho kadhaa ya kiufundi kwenye kikosi chake kuelekea kwenye maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa. Mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara mara nne mfululizo, inaripotiwa kwamba wataweka kambi ya maandalizi nchini Rwanda wiki chache zijazo. Lakini habari
NDOTO ya mshambuliaji wa Simba SC na Taifa Stars, Kibu Dennis kucheza soka la kulipwa Marekani inakaribia kutimia baada ya klabu ya Nashville kumwongezea wiki ya majaribio kutokana na kile kinachoelezwa ni kivutio kwa makocha wa kikosi hicho. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vya karibu na mchezaj
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC msimu wa 2025/26 wameweka wazi kuwa mpango kazi wa kufanya usajili upo chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 Simba SC iligotea nafasi ya tatu kwenye msimamo ikapeperusha bendera kwenye Kombe la Shirikisho
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wamekamilisha dili lao na kiungo kiraka Mudathir Yahya. Mudathir Yahya mkataba wake ulikuwa umeisha mara baada ya msimu kufika ukingoni alikuwa kwenye mazungumzo na mabosi wa timu hiyo kuhusu kuongeza mka
Aliyekuwa mtathimini viwango ‘Performance Analysist’ wa klabu ya Simba raia wa Zambia Culvin Mavunga ametangaza kuondoka ndani ya klabu hiyo baada ya misimu mitano aliyodumu ndani ya timu hiyo. Kupitia ukurasa wake wa instagram amewashukuru mashabiki na viongozi wa klabu hiyo kwa kipindi chote walic
Timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars imejiondoa kwenye mashindano ya CECAFA yanayojumuisha timu nne, yaani Tanzania, Kenya, Uganda na Senegal ikiwa ni masaa machache kabla ya kutakiwa kucheza mchezo wa ufunguzi dhidi ya Uganda majira ya saa 9 jioni. Taarifa iliyotolewa na Shirikisho la mpira la Nch
CV ya Moussa Balla Conte Mchezaji Mpya wa Yanga Sc 2025/2026 Klabu ya Yanga imekamilisha dili la kiungo wa ulinzi mwenye uwezo mkubwa, Moussa Balla Conte, ambaye anatokea CS Sfaxien ya Tunisia, kwa mkataba wa miaka miwili unaotarajiwa kudumu hadi Juni 30, 2028. Conte ni mchezaji wa kwanza kutambulis
AZAM FC matajiri wa Dar wamepanga kutumia michuano ya Kimataifa Afrika (Chan) kwa ajili ya kufanya usajili wa msimu ujao wa 2025/26. Ipo wazi kwamba CHAN mchezo wake wa ufunguzi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Agosti 2 kati ya Tanzania ambao ni wenyeji itakuwa dhidi ya Burkina Faso. Tayari Aza
Mchezaji wa Real Madrid, Jude Bellingham kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha akiwa kweye kitanda cha Hospitali ikiwa ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa jeraha la bega ambalo litamuweka nje mpaka mwezi October. Kwenye chapisho lake amewashukuru manesi na madaktari walioshiriki kufanikisha
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwatuliza mashabiki wa Simba huku akithibitisha kuwa ni kweli kiungo Moussa Balla Conte aliyetambulishwa na wapinzani wao usiku wa leo alikuwa kwenye orodha ya kocha Fadlu. “Wana Simba hakun
Beki wa kati wa klabu ya Simba raia wa Cameroon Che Malone Fondoh huwenda akaondoka klabuni hapo na kujiunga na klabu ya USM Alger inayoshiriki ligi kuu Nchini Algeria. Mchezaji huyo aliyejiunga na Simba Julai 2023 akitokea Cotton Sport ya ligi kuu Nchini kwao anaondoka Simba kwa makubaliano ya pand
NAHODHA wa Simba SC, Mohamed Hussen msimu wa 2024/25 kuna uwezekano mkubwa akaibukia ndani ya kikosi cha Yanga SC akiwa ni mchezaji huru. Ikumbukwe kwamba Zimbwe aliongeza mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba SC mwaka 2023 tayari 2025 umefikika tamati Julai 10 2025 hivyo kwa sasa mchezaji huyo n
Shomari Kapombe anaripotiwa kuwa tayari amekubaliana na klabu ya Simba kuhusu kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuwatumikia Wekundu wa Msimbazi, licha ya mkataba wake wa awali kumalizika rasmi Juni 30, 2025. Vyanzo vya kuaminika kutoka ndani ya klabu vinadai kuwa hakuna presha yoyote baina ya pande
UONGOZI wa Yanga SC umeweka wazi kwamba kazi inaanza kwenye usajili kwa kuwa kuna wachezaji wengine wa maana watatambulishwa hivi karibuni. Mpango mkubwa wa Yanga SC ulikuwa ni kufungua ukurasa Julai 22 kutambulisha wachezaji wapya ila ngoma ilibadilishwa hewani baada ya kufungua ukurasa rasmi Julai