
Kitaifa
SIMBA WA AHAHIDI KUFANYA KWELI KWENYE USAJILI
UONGOZI wa Simba SC umebainisha kwamba utafanya kweli kwenye usajili hivyo mashabiki wasiwe na presha mipango inaendelea. Ikumbukwe kwamba timu hiyo msimu wa 2024/25 ilikosa mataji yote iliyokuwa inayapambania jambo ambalo linawafanya waje na hasira zaidi. Miongoni mwa wachezaji ambao wanatajwa kuwa














