Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » YANGA SC KUWEKA KAMBI RWANDA
    KITAIFA

    YANGA SC KUWEKA KAMBI RWANDA

    ChikaoBy ChikaoAugust 9, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC Yanga SC wanatarajiwa kuelekea Rwanda. Timu hiyo inaenda Rwanda kwa mualiko maalum kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa kirafiki. Mchezo huo unatarajiwa kuwa dhidi ya kikosi cha Rayon Sports.

    Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC amesema: “Hivi karibuni tulizindua kampeni ya Tofali la ubingwa. Hii ililenga kuwapa wanachama nafasi ya kuchangia timu yao kwa ajili ya kuipa misuli ya kifedha.

    “Mahitaji haya ni kwa ajili ya kufanikisha usajili na maandalizi ya kambi ya kabla ya msimu ‘Pre-season’. Ikumbukwe maandalizi ni bora ili kuweza kutimiza malengo yetu ya ubingwa kwa msimu mzima. Tayari tumepata mwaliko wa kwenda Rwanda kwa ajili ya kushiriki siku ya kilele cha klabu ya Rayon Sports.

    Kwa sasa timu ya Yanga  SC inaendelea kusukwa, na aliyewahi kuwa kocha msaidizi wa Mamelodi Sundowns Roman Folz. Kocha huyo ni miongoni mwa wakufunzi wenye wasifu mkubwa na uzoefu na sola la Afrika.

    Folz na benchi lake jipya la ushindi tayari wameanza rasmi majukumu yao ya kuinoa Yanga. Hii ni kupitia kambi ya maandalizi kabla ya msimu ‘Pre-season’ inayoendelea kwenye Uwanja wa KMC, Mwenge Dar es Salaam.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleJONATHAN SOWAH ATUMA UJUMBE KWA WANASIMBA
    Next Article TIMU TATU KIMATAIFA, WAPINZANI WA AZAM FC, SINGIDA BLACK STARS HAWA

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.