HomeKITAIFAMUONEKANO WA PIPINO BAADA YA MECHI YA JANA DHIDI YA MAURITANIA

MUONEKANO WA PIPINO BAADA YA MECHI YA JANA DHIDI YA MAURITANIA

Jicho la kiungo mkabaji wa kikosi cha timu ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’ Ahmed Bakari ‘Pipino’ @_ahmed_pipino limevimba baada ya kupigwa kiwiko katika mchezo wa jana wa Stars dhidi ya Mauritania.

Pipino alipata jeraha hilo lililomfanya ashindwe kuendelea na mchezo huo na akatolewa na nafasi yake akaingia kiungo mwingine Shekhan Khamis.

Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Stars iliibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Shomary Kapombe.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Recent Comments

Web Development Company in Kochi,Kerala on NEYMAR AMWAGA MACHOZI AKIKUTANA NA KIPIGO KIKUBWA ZAIDI KWAKE