Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป DILI LA FEISAL SALUM GUMU KWELIKWELI, NAMBA SITA KIVUMBI
    KITAIFA

    DILI LA FEISAL SALUM GUMU KWELIKWELI, NAMBA SITA KIVUMBI

    ChikaoBy ChikaoJuly 26, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    DILI la kiungo wa Azam FC Feisal Salum kuibukia ndani ya kikosi cha Simba SC ni gumu kutokana na mkataba wake uliobaki na gharama za uhamisho ambazo zipo.

    Ilikuwa inaelezwa kuwa Feisal anatajwa kuwa kwenye rada za Simba SC ilianza hivyo tangu dirisha dogo la msimu wa 2024/25.

    Ipo wazi kwamba miongoni mwa viungo wazawa wenye uwezo mkubwa uwanjani, jina la Fei halikosekana kwa kuwa amekuwa kwenye mwendelezo wa ubora wake.

    Msimu wa 2024/25 ni namba moja kwenye kutengeneza pasi za mwisho ambazo alitoa 13 na alifunga mabao manne yote kwa mguu wa kulia.

    Taarifa zinaeleza kuwa kuna ugumu kwa kiungo huyo kuondoka Azam FC na kuibukia Simba SC hivyo Simba SC ina kazi kutafuta namba sita mwingine ambaye hatakuwa Fei Toto.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleRASMI: SIMBA KUTAMBULISHA VIUNGO HAWA KUTOKA MAMELODI
    Next Article NAMBA 8 MPYA WA YANGA SC LASSINE ANATAKA KUTEMBEZA 5G

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.