Share WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email Alonso aliyekuwa mchezaji na mshindi wa taji la Ligi ya Mabingwa akiwa na Real Madrid anaenda kurithi mikoba ya aliyekuwa kocha wake akiwa Madrid Carlo Ancelotti aliyeaga jana. Alonso atahudumu Bernabeu hadi Mwaka 2028.