Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป TIMU YA TAIFA YA KENYA YAJITOA KWENYE MASHINDANO YA CECAFA
    KITAIFA

    TIMU YA TAIFA YA KENYA YAJITOA KWENYE MASHINDANO YA CECAFA

    ChikaoBy ChikaoJuly 21, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars imejiondoa kwenye mashindano ya CECAFA yanayojumuisha timu nne, yaani Tanzania, Kenya, Uganda na Senegal ikiwa ni masaa machache kabla ya kutakiwa kucheza mchezo wa ufunguzi dhidi ya Uganda majira ya saa 9 jioni.

    Taarifa iliyotolewa na Shirikisho la mpira la Nchi hiyo limeweka wazi kuwa sababu ya timu hiyo kujiondoa ni baada ya kocha mkuu wa Taifa hilo Benni McCrthy kutoridhishwa na mazingira ya mashindano hayo.

    Awali timu ya taifa ya CONGO BRAZA VILLE ilijiondoa kwenye mashindano hayo wiki moja kabla ya michuano hiyo kuanza kutokana na kupata changamoto ya kusafiri, na baadaye Senegal ikajitokeza kuziba pengo la timu hiyo.

    Licha ya kuwa timu hiyo tayari ilikuwa imefika Jijini Arusha na kufanya mazoezi ya mwisho siku ya jana imelazimika kuanza safari ya kurejea nchini kwao Kenya kuendelea na maandalizi ya CHAN ambayo itaanza tarehe 02/08/2025.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleCV YA MOUSSA BALLA CONTE, MCHEZAJI MPYA WA YANGA SC 2025/2026
    Next Article MTATHIMINI VIWANGO SIMBA ATOA ‘THANK YOU’

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.