Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » KOCHA WA SIMBA AICHIMBA MKWARA KMC FC
    KITAIFA

    KOCHA WA SIMBA AICHIMBA MKWARA KMC FC

    ChikaoBy ChikaoFebruary 10, 202601 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Simba
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker, amezungumzia maandalizi ya timu yake kuelekea mchezo wa Ligi Kuu utakaopigwa kesho Jumatano, Februari 11 kwenye uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam saa 1:00 usiku kwa muda wa Tanzania.

    Barker amesema maandalizi ya kikosi chake yamekwenda vizuri hadi sasa, na amesisitiza umuhimu wa kucheza mchezo huo kwa kiwango cha juu ili kupata ushindi unaotakiwa.

    “Tunahitaji kucheza mechi hii vizuri ikiwa ni pamoja na kutawala mchezo na kupata ushindi kama ambavyo malengo yetu yalivyo,” amesema kocha huyo raia wa Afrika Kusini.

    Simba inaingia katika mchezo huu ikiwa na hamu kubwa ya kuendeleza mfululizo wa matokeo mazuri na kuimarisha nafasi yake katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleROONEY AMTABIRIA MABAYA ARTETA, AMSHAURI APIGE KAZI
    Next Article RASMI AL NASR YAMCHOMOA KIBU DENIS MSIMBAZI KWA MILIONI 776

    Related Posts

    KOCHA WA YANGA HAELEWI, VIONGOZI WABADILISHA UELEKEO

    March 25, 2026

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    KOCHA WA YANGA HAELEWI, VIONGOZI WABADILISHA UELEKEO

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.