Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป Yanga SC vs Simba SC zimebaki siku tatu
    KITAIFA

    Yanga SC vs Simba SC zimebaki siku tatu

    ChikaoBy ChikaoSeptember 14, 202511 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    YANGA SC vs Simba SC wababe hawa wawili wanatarajiwa kuwa kwenye kazi ya kusaka ushindi ndani ya Uwanja Septemba 16 2025.

    Zimebaki siku tatu kwa watani hawa wa jadi kupambania taji la Ngao ya Jamii ikiwa ni mchezo rasmi wa ufunguzi wa msimu mpya wa 2025/26.

    Ikumbukwe kwamba msimu wa 2024/25 taji la Ngao ya Jamii lilichukuliwa na Yanga SC iliyopata ushindi kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Mkapa.

    Simba SC iliondolewa na Yanga SC katika hatua ya nusu fainali kwa kufungwa bao 1-0 na mtupiaji alikuwa ni Maxi Nzengeli alimtungua kipa namba moja Moussa Camara ambaye yupo kwenye kikosi cha Simba SC kuelekea msimu wa 2025/26.

    Timu zote mbili zimetoka kupata ushindi kwenye mechi zao zilizopita za kimataifa ambazo zilikuwa ni za kirafiki.

    Simba SC 2-0 Gor Mahia kwenye kilele cha Simba Day, Septemba 10 2025 na Yanga SC 1-0 Bandari kwenye kilele cha Yanga Day, Septemba 13 timu zote zilicheza Uwanja wa Mkapa.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleARTETA: BUKAYO SAKA NA SALIBA HAWATAKI KUONDOKA ARSENAL
    Next Article ZIMBWE JR AFIKIRIA MAKUBWA YANGA SC

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    View 1 Comment

    1 Comment

    1. ALLY RAJABU ADAMU on September 15, 2025 3:50 pm

      Comment:simba sc ni timu kubwa sisi kama wanachama wa simba hatuna hofu tunasubiri mataji.

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.