Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » LEO NI VITA YA SAMATTA NA POGBA KATIKA LIGI YA UFARANSA
    KIMATAIFA

    LEO NI VITA YA SAMATTA NA POGBA KATIKA LIGI YA UFARANSA

    ChikaoBy ChikaoAugust 16, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta anatarajia kucheza mechi yake ya kwanza kwenye Ligi Kuu Ufaransa wakati klabu yake ya Le Havre itapokutana na AS Monaco.

    Samatta  siku ya leo endapo akipata nafasi ya kuitumikia timu yake atakuwa mchezaji wa kwanza kutoka Tanzania kukiwasha katika ligi hiyo akicheza dhidi ya nyota wa zamani wa Man U na Barcelona Paul Pogba na Ansu Fati wanaoitumikia As Monaco kwa sasa.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleNEO GIFT MAEMA AMEICHAGUA SIMBA
    Next Article SELEMANI MWALIMU AMEIGHARIMU SIMBA MILIONI 260

    Related Posts

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    March 24, 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    March 20, 2026

    RICHARLISON SHUJAA WA TOTTENHAM VS LIVERPOOL, WAIPINGIZA MAKALI

    March 16, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.