Home KITAIFA SIMBA YATANGAZA RASMI UWANJA WA MKAPA KUWA UWANJA WAO WA NYUMBANI 2025/2026

SIMBA YATANGAZA RASMI UWANJA WA MKAPA KUWA UWANJA WAO WA NYUMBANI 2025/2026

736
0
simba

Klabu ya Simba imeutangaza uwanja wa Benjamini Mkapa kuwa uwanja watakaoutumia kama uwanja wao wa nyumbani katika mashindano yote kwa msimu wa mwaka 2025/26.

Simba wamerejea kwenye uwanja huo ambao wamekuwa wakiutumia kama uwanja wa nyumbani kwa misimu mingi kabla ya msimu jana kuahamia KMC Complex ili kupisha marekebisho yaliyokuwa yanafanyika katika uwanja huo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here