Home KITAIFA MAN CITY WANATAKA PAUNI MILIONI 50 KWA SAVINHO

MAN CITY WANATAKA PAUNI MILIONI 50 KWA SAVINHO

78
0
Man City

Klabu ya kaskazini mwa London ya Tottenham sasa inahusishwa na mmoja wa washambuliaji chipukizi bora zaidi wa kiBrazil, Savinho wa Manchester City.

Kwa mujibu wa The Athletic, Spurs wamewasiliana na Man City kuhusu nia yao ya kumsajili mchezaji huyo na inaelezwa mazungumzo yamekuwa yakiendelea katika siku za karibuni.

Taarifa zinaweka wazi kuwa City wako tayari kumuuza Savinho ikiwa tu anataka kuhama, na ikiwa hali itakuwa hivyo basi watahitaji dau la pauni milioni 50 ili kumruhusu aondoke.

Advertisement

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here