Mwanza: Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameanza msimu wa NBC Premier League kwa kasi baada ya kuichapa Pamba Jiji FC mabao 2-1 na kuchukua alama zote tatu. Simba ilipata mabao yake kupitia Clatous Chama dakika ya 18 na Oura dakika ya 30, kabla ya Pamba Jiji kujibu kupitia Diomande dakika ya 72. Mche
Rasmi, Jonas Mkude, aliyewahi kuitumikia Simba SC na Yanga SC, amejiunga na Mashujaa FC ya Kigoma kuelekea msimu mpya wa mashindano.Jonas Mkude ameanza ukurasa mpya wa maisha yake ya soka baada ya kujiunga rasmi na Mashujaa FC, akielekea kuwa sehemu ya kikosi kitakachoshiriki NBC Premier League pamo
Safari ya kutafuta ushindi imeanza. Meridianbet imeleta Fazi Cash Quest, mashindano maalum yanayokupa nafasi ya kushindania sehemu ya zawadi nono ya TZS 6,000,000. Kuanzia leo hadi 27 Agosti 2026, ni muda wa kuingia kwenye mchezo na kuonyesha ubabe wako kwenye sloti za Fazi. Kila dau linalokidhi vig
Mashabiki wa Simba mnaorumbana kwenye vyombo vya habari wote mnahoja za msingi na wote mko sahihi kwa mitazamo yenu Agizo langu : Ni wote kuacha mara moja marumbano hayo ili kuipa klabu utulivu iendelee kupambana na ligi kuu Kama mnafanya kwa matakwa yenu basi sitisheni kuanzia sasa na kama ni maagi
Cristiano Ronaldo amebadilisha muonekano wake kwa kunyoa mtindo mpya wa nywele na kuzipaka rangi. Mabadiliko haya yamekuja siku chache baada ya kutoka kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Georgina Rodríguez. Ronaldo ameuonyesha muonekano huu mpya aliporejea kwenye mazoezi ya timu yake ya Al-Nas
Arsenal inaingia dimbani dhidi ya Manchester City kesho Agosti 16, 2026 kwenye mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii. Huu ni mchezo maalum unaofungua msimu mpya wa soka nchini Uingereza. Ikumbukwe kuwa Arsenal ataingia kama bingwa wa Ligi Kuu (Premier League) na Manchester City kama bingwa wa Kombe la
Mashabiki wa michezo ya kasino wana sababu nyingine ya kuongezewa burudani kwenye safari yao ya ubashiri, baada ya Bubble Up kutoka Pragmatic Play kuwasili Meridianbet. Mchezo huu mpya unaleta mchanganyiko wa rangi, bubbles na uchezaji wenye mvuto, huku ukiwapa wachezaji nafasi ya kuwa miongoni mwa
Klabu ya Simba SC ipo kwenye hatua za mwisho kabisa za kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa JKT Tanzania, Paul Peter Kasunda (27), ili kuimarisha safu yao ya ushambuliaji kuelekea msimu mpya wa mashindano. Tayari mchezaji huyo amekubaliana masharti yote binafsi na Wekundu wa Msimbazi, na hivi sasa
Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imefanya maamuzi ya kuutumia uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge, Dar es Salaam, kama uwanja wao rasmi wa nyumbani kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu ya NBC (NBC Premier League) kwa msimu huu wa 2026/2027. Hatua hii inaashiria rasmi kuwa Wananchi wamehama katika Uwanj
Wakati Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/2027 ikianza rasmi leo, Kocha wa Mashujaa FC, Aman Josiah, ameweka wazi maandalizi ya kikosi chake huku akibainisha kuwa mastaa wake wameanza kuelewa na kuingia kikamilifu kwenye mfumo wake wa mbinu. Josiah, ambaye amejiunga na Mashujaa FC msimu hii akitokea Dodo
Baada ya kushuhudia matamasha ya Simba Day na Yanga Day sasa ni zamu ya kuhamia uwanjani kwenda kumtafuta Bingwa ambaye ataondoka na Ngao ya Jamii. Je nani ataondoka na Kombe hilo?. Ingia Meridianbet na ubashiri sasa. Mechi ya Simba dhidi ya Yanga kwenye Ngao ya jamii ni mchezo wa ufunguzi rasmi wa
Young Africans (Yanga) leo, Jumatano Agosti 12, 2026, inatarajiwa kushuka dimbani dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Ngao ya Jamii utakaochezwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 2:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki na utafungua rasmi msimu wa 2026/27.
Klabu ya Simba SC leo, Jumatano Agosti 12, 2026, inatarajiwa kushuka dimbani dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga SC, katika mchezo wa Ngao ya Jamii utakaochezwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, kuanzia saa 8:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Mchezo huo utakuwa wa kwanza wa ushindani
Kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga SC mabingwa wa NBC Premier League vs Simba SC, mabingwa wa CRDB Federation Cup 2025/26 makocha wa timu zote wametamba kutwaa taji hilo. Watani hawa wa jadi wanatarajiwa kushuka Uwanja wa New Amaan Complex, Agosti 12,2026 ikiwa ni Ishara ya ufunguzi pazi