Author: Chikao

KOCHA Mkuu wa Fountain Gate, Mohamed Ismail ‘Laizer’, amesema kuwakosa wachezaji watatu waliofikia makubaliano ya kutua ndani ya kikosi hicho katika dirisha dogo la Januari 2026,…

MTIBWA Sugar 1-3 Singida Black Stars, (SBS) ni matokeo rasmi mchezo wa NBC Premier League uliochezwa mapema leo Februari 22,2026 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Wageni Singida…

Mshambuliaji wa kimataifa kutoka Angola, Depu, anaendelea kuthibitisha ubora wake ndani ya kikosi cha Young Africans SC kwa kuwa tegemeo muhimu la mabao tangu alipojiunga na…