Author: Chikao

KLABU ya Simba SC imethibitisha kuendelea kubaki na kiungo wake, Yusuph Kagoma, baada ya mchezaji huyo kukubali kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu…