Klabu ya Barcelona inataka huduma ya nahodha wa Uingereza Harry Kane, 32, ambaye ameifungia Bayern Munich mara 95 katika mechi 102 za ligi. Kane anaonekana kama…
Author: Chikao
Kocha wa Manchester United Ruben Amorim anasema ana matumaini ya kupata muda wa kuonyesha jinsi mfumo wake utakavyobadilika, lakini anasisitiza hata Papa hataweza kumfanya abadilishe mfumo…
SEPTEMBA 20 2025 ni Gaborone United vs Simba SC mchezo wa hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo wababe hawa watakuwa katika dakika 90 za…
FT: Wiliete SC 0-3 Yanga SC Dakika ya 88 nahodha wa Wiliete anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo nyota wa Yanga SC Dakika ya 86 Yanga…
SIMBA SC baada ya kupoteza Ngao ya Jamii, Septemba 16 2025 mbele ya Yanga SC msafara ulikwea pipa na umefika salama Botswana kwa ajili ya maandalizi…
IBRAHIM Bacca beki wa Yanga SC amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Williete SC ya Angola unaotarajiwa kuchezwa leo…
Mchambuzi nguli wa soka nchini, Saleh Jembe kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika taarifa kuhusiana na Kocha wa Klabu ya Simba, Fadlu David’s kuhusu kuondoka klabuni…