Staa wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG), Ousmane Dembélé, ameshinda Tuzo ya Ballon d’Or ya 2025, akiwashinda wachezaji maarufu kama…
Author: Chikao
Bingwa wa Dunia wa Marathon mbio za Kilometa 42, Askari wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ), Sajenti Alphonce Simbu amesema anajivunia kuiheshimisha nchi yake kwa…
Klabu ya Simba imeutangaza uwanja wa Benjamini Mkapa kuwa uwanja watakaoutumia kama uwanja wao wa nyumbani katika mashindano yote kwa msimu wa mwaka 2025/26. Simba wamerejea…
Baada ya kuagana rasmi na mabingwa wa kihistoria wa Tanzania, Simba SC, kocha raia wa Afrika Kusini Fadlu Davids sasa amejiunga na wakali wa Morocco, Raja…
Baada ya kuachana na vigogo wa Tanzania Simba SC, Kocha Fadlu Davids anatarajiwa kuchukua mikoba ya kuinoa klabu ya Raja Club Athletic. Makubaliano yote tayari yamekamilika…
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ndiyo chombo cha kikatiba kinachohusika na kusimamia na kuratibu mchakato wa uchaguzi nchini Tanzania. Kazi kubwa ya tume hii…
Katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Simba SC ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gaborone United ya Botswana kwenye mchezo uliopigwa mjini Gaborone.…
“Ni kweli, mijadala ipo—Simba haikucheza soka la kuvutia sana dhidi ya Gaborone United, lakini bado ikaibuka na ushindi. Wapo wanaoona kama ni dalili za udhaifu, lakini…