Kocha Mkuu wa @singidablackstars ameanza rasmi kazi ya kukinoa kikosi cha timu hiyo kuelekea msimu mpya wa mashindano wa mwaka 2025/26.
Gamondi ambaye aliwahi kuwa kocha mkuu wa Yanga ameanza majukumu hayo leo akiwa na msaidizi wake Moussa N’Daw.