Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » LIVERPOOL, ARSENAL AU CITY? VITA YA KILELENI YACHUKUA KASI MAPEMA
    KIMATAIFA

    LIVERPOOL, ARSENAL AU CITY? VITA YA KILELENI YACHUKUA KASI MAPEMA

    ChikaoBy ChikaoAugust 5, 202503 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Je safari hii nani anaweza kuongoza ligi, ambapo wakali wa ubashiri wameweka ODDS kubwa sana. Nani atapokea kijiti cha Liverpool ambao msimu uliopita ndio waliongoza ligi wakiwa na pointi zao 39?

    Liverpool kuongoza ligi amepewa ODDS 3.00. Ikumbukwe kuwa Jogoo wa Anfield hadi sasa amefanya usajili wa wachezaji wakubwa kabisa akiwemo Frimpong, Wirtz, Ekitike na wengine kibao. Lakini pia haijawaacha wachezaji wao wengi kwenye dirisha hili kubwa la usajili ndio maana Meridianbet imempa nafasi kubwa ya kushinda. Je wewe beti yako utampa Liverpool?

    Wakati nafasi ya pili ya kuongoza ligi siku ya Christmas inaenda kwa vijana wa Arteta Arsenal ambao msimu uliopita walimaliza pili. Baada ya kukosa vikombe vyote msimu uliopita sasa safari hii The Gunners wamejipanga kubeba makombe yote kutokana na usajili ambao wameweza kufanya. Ujio wa Gyokeres, Zubimendi, Madueke na wengine utaenda kuleta chachu kikosini hapo. Je kwa ODDS ya 3.50 Arsenal mpaka Sikukuu ya Christmas watakuwa kileleni?. Tengeneza jamvi hapa.

    Leo hii pesa ipo kubwa sana ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

    Manchester City chini ya Pep Guardiola wao wanapewa nafasi ya 3 kuongoza ligi siku ya Christmas ambapo chaguo hili unalikuta Meridianbet kwenye “OUTRIGHTS” na City wamepewa ODDS 4.30 hadi sasa. Licha ya kupitia hali ngumu karibia mwishoni mwa msimu timu hii yenye makombe 6 chini ya Guardiola msimu huu wanahitaji kuchukua ubingwa. Je wataweza?. Tengeneza jamvi lako hapa sasa.

    Meridianbet inampa nafasi ya 4 klabu ya Chelsea, au The Blues kuwa juu ya msimamo wa ligi wakiwa na ODDS 7.95. Enzo Maresca ambaye ameweza kuchukua kombe la Dunia la vilabu sasa amefanya ongezeko la wacheza wazuri kwenye kikosi chake akitaka makombe zaidi. Ujio wa Joao Pedro, Gittens, Estavao na wengine ambao wanatarajia kuja kama vile Xavi Simons na Garnacho utakuwa ni chachu ya makombe. Je Chelsea inaweza kuwa kileleni siku ya Christmas?. Jisajili na ubashiri hapa.

    Timu nyingine ambayo ipo kwenye mbio za kuwa kileleni kufikia Christmas ni Newcastle United ambao wapo chini ya kocha mkuu Eddie Howe. Timu hii msimu uliopita walimaliza nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi. Msimu huu inatarajiwa kuwa moja ya timu ambazo zitaenda kufanya vizuri. Newcastle nao wamefanya ongezeko la wachezaji Antony Elanga, Antonio Cordero huku wakitaka kufanya usajili wa wachezaji wengine kama Benjamin Sesko, na wengine.  ODDS za kuwa juu ya msimamo siku ya Christmas kwa vijana hawa wa Eddie Howe ni 12.9. Suka jamvi hapa.

    Nao Manchester United pia ndio timu inayokamilisha top 6 ya timu ambazo zinapewa nafasi ya kuwa kileleni siku ya Christmas. Vijana hawa kutoka Old Trafford baada ya kuwa na msimu mbaya uliopita safari hii wamejipanga kufanya maajabu. Bado wapo kwenye dirisha la usajili huku wakiwaleta wacheza kama Cunha, Mbeumo na wengine wakitarajia kuja chini ya Amorim. Man United kumaliza nafasi ya juu siku ya Christmas wana ODDS 25.9. Bashiri sasa.

     

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleYANGA SC HAWAPOI, KIUNGO WA KAZI MOHAMED DOUMBIA NDANI
    Next Article SIMBA SC WAANZA NI MWENDO WA MATIZI, KIBU, CAMARA NDANI

    Related Posts

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    March 24, 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    March 20, 2026

    RICHARLISON SHUJAA WA TOTTENHAM VS LIVERPOOL, WAIPINGIZA MAKALI

    March 16, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.