HomeKITAIFAYanga,Azam,Simba na Singida kupambania ngao ya jamii Septemba 14.

Yanga,Azam,Simba na Singida kupambania ngao ya jamii Septemba 14.

Michezo ya Ngao ya Jamii hatua ya nusu fainali inatarajiwa kuchezwa September 11 huku mchezo wa fainali ukitarajiwa kuchezwa September 14 kabla ya kufunguliwa rasmi kwa pazi la ligi kuu msimu wa 2025/26.

Nusu Fainali ya itazikutanisha timu za Yanga na Azam huku Simba akicheza dhidi ya Singida Black Stars na washindi wawili wa  michezo hiyo watafuzu kucheza fainali ya taji hilo.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Recent Comments

Web Development Company in Kochi,Kerala on NEYMAR AMWAGA MACHOZI AKIKUTANA NA KIPIGO KIKUBWA ZAIDI KWAKE