Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป ANDAMBWILE BADO YUPO SANA JANGWANI
    KITAIFA

    ANDAMBWILE BADO YUPO SANA JANGWANI

    ChikaoBy ChikaoJuly 31, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    NI majeraha ambayo yalifanya asionyeshe ubora wake akiwa katika uwanja msimu wa 2024/25 na alipata maumivu makubwa kwenye mchezo dhidi ya TaboraUnited alipokomba dakika 10 pekee, Uwanja wa Azam Complex.

    Ilikuwa ni Novemba 6 2024 zama za Kocha Mkuu, Miguel Gamondi.

    Anaitwa Aziz Andambilwe alicheza jumla ya mechi tano za ligi akikomba dakika 125, hakufunga wala kutoa pasi ya bao kiungo ambaye alikuwa anacheza nafasi ya beki wakati mwingine.

    Katika mchezo dhidi ya JKT Tanzania uliochezwa Uwanja wa Azam Complex alikomba dakika 90 na ubao ukasoma Yanga SC 2-0 JKT Tanzania.

    Ilikuwa ni Oktoba 22 2024, mwamuzi alikuwa Ahmed Arajiga, Azam Complex . Ameongeza mkataba wa miaka miwili bado yupo Jangwani kijana mpaka 2027.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleKLABU YA SIMBA YASITISHA MCHAKATO WA KUMPA MKATABA KHADIM DIAW
    Next Article AZAM FC YAMTAMBULISHA PAPE DOUDOU DIALLO KUTOKA SENEGAL

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.