Jumapili ya Soka Ulaya: Mechi Kubwa Bundesliga, Serie A na LaLiga

Soka Ulaya

Siku ya leo inaenda kubadilisha maisha yako moja kwa moja kwani mechi kibao zipo uwanjani na nafasi ya kuondoka na ushindi ipo mikononi mwako. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kubeti sasa.

SERIE A kitawaka haswa ambapo Sassuolo atakuwa mwenyeji wa Torino ambao wanashika nafasi ya 16 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili ilikuwa ni msimu juzi na hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Jisajili hapa.

Kwa upande wa Fiorentina yeye atakipiga dhidi ya Udinese ambao wapo nafasi ya 11 huku wenyeji wao wakiwa na hali mbaya msimu huu kwani mpaka sasa wao ndio vibonde wa ligi. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Suka jamvi hapa.

Genoa atamenyana vikali dhidi ya Atalanta ambapo kila timu inahitaji ushindi siku ya leo iweze kusogea kwenye nafasi ya juu kwenye msimamo wa ligi. Mechi hii pale Meridianbet imepewa machaguo zaidi ya 1000. Beti hapa.

Tengeneza mkwanja mrefu na michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Ligi kuu ya Hispania yaani LALIGA ambapo Girona atamelta kwake Atletico Madrid ambao mpaka sasa wanashika nafasi ya 3 huku wakiwa na malengo ya kushiriki Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Mwenyeji amekuwa na msimu mbovu kwnai mpaka sasa ana pointi 12 pekee. Je nani kuondoka na ushindi siku ya leo?. Bashiri hapa.

Bingwa mtetezi, FC Barcelona atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Villarreal ambao mechi ya mwisho kukutana na vijana hawa wa Hans Flick walipata ushindi kwenye mechi ya mwisho. Hivyo msimu uliopita hawa wawili waligawana pointi yaani kila mtu alipata ushindi kwa mwenzake. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Jisajili hapa.

Real Betis atakuwa uso kwa uso kumenyana dhidi ya Getafe ambao mpaka sasa kwenye mechi walizocheza wana pointi 20, huku wenyeji wao wakiwa na pointi 24, hivyo tofauti yao ni pointi 4 pekee. Ushindi ndio kila kitu timu inataka kwasasa. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa.

BUNDESLIGA kule Ujerumani nako kuna mechi mbili ambazo zitapigwa ambapo mechi ya kwanza ni hii ya Mainz 05 atakipiga dhidi ya ST. Pauli huku mtanange wa mwisho kukutana kati ya hawa wawili mwenyeji alishinda. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi?. Tandika jamvi hapa.

Nao vinara wa ligi, Bayern Munich watakuwa wageni wa FC Heidenheim ambao mpaka sasa wamekusanya pointi zao 11 kwenye michezo 13 ambayo wamecheza hadi sasa huku Meridianbet wakiwapa vijana wa Kompany nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi mechi hii. Bashiri hapa.