Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป TETESI: MPANZU WA SIMBA SC KWENYE RADA ZA WAARABU
    KITAIFA

    TETESI: MPANZU WA SIMBA SC KWENYE RADA ZA WAARABU

    ChikaoBy ChikaoJuly 10, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Mpanzu wa Simba kwenye Rada za Waarabu

    INAELEZWA kuwa winga chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Fadlu Davids ndani ya kikosi cha Simba SC, Ellie Mpanzu yupo kwenye rada za RS Berkane,Waarabu wa Morocco.

    Mpanzu ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa tegemeo katika kikosi cha Simba SC msimu wa 2024/25 kwenye anga la kimataifa na kitaifa.

    Ndani ya ligi rekodi zinaonyesha kuwa alicheza jumla ya mechi 17 kati ya 30. Ikumbukwe kwamba Mpanzu aliibuka ndani ya Simba SC kwenye dirisha dogo la usajili.

    Simba SC ikiwa imefunga mabao 69 kahusika kwenye mabao 7, akifunga manne na kutoa pasi tatu. Ni dakika 1,239 alikomba uwanjani.

    Ikiwa RS Berkane wataipata saini yake, Simba SC itakuwa na kazi kusaka winga mwingine ambaye atakuja katika kikosi hicho.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleKocha Mpya wa Yanga 2025/2026: Siri Yafichuka Jangwani!
    Next Article HIZI HATA TAKWIMU ZA KIBU MSIMU HUU WA 2024/25

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.