HomeKIMATAIFADEMBELE AWASHINDA WAKINA LAMINE, NA SALAH BAADA YA KIBEBA BALLON D'OR 2025

DEMBELE AWASHINDA WAKINA LAMINE, NA SALAH BAADA YA KIBEBA BALLON D’OR 2025

Staa wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG), Ousmane Dembélé, ameshinda Tuzo ya Ballon d’Or ya 2025, akiwashinda wachezaji maarufu kama Lamine Yamal wa Barcelona na Mohamed Salah wa Liverpool.

Katika msimu wa 2024/25, Dembélé alifunga mabao 37 na kutoa pasi za mwisho 15, akisaidia PSG kutwaa mataji manne muhimu: Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1), Kombe la Ufaransa, UEFA Champions League, na UEFA Super Cup

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Recent Comments

Web Development Company in Kochi,Kerala on NEYMAR AMWAGA MACHOZI AKIKUTANA NA KIPIGO KIKUBWA ZAIDI KWAKE