Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป FADLU SAFARI YA KUIACHA SIMBA, RASMI IMEWADIA, KUONDOKA KESHO
    KITAIFA

    FADLU SAFARI YA KUIACHA SIMBA, RASMI IMEWADIA, KUONDOKA KESHO

    ChikaoBy ChikaoSeptember 22, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Baada ya kuachana na vigogo wa Tanzania Simba SC, Kocha Fadlu Davids anatarajiwa kuchukua mikoba ya kuinoa klabu ya Raja Club Athletic.

    Makubaliano yote tayari yamekamilika na Fadlu anarudi katika klabu hiyo aliyowahi kuwa kocha msaidizi na kushinda Botola Pro bila kupoteza mchezo msimu mzima.

    Kwa sasa yupo nchini Afrika Kusini na kesho atasafiri kuelekea Morocco kuanza ukurasa mpya kama kocha mkuu wa Raja.

    Vigogo hao wa Morocco wanataka kurejea kileleni, hasa katika mashindano ya kimataifa ya CAF, na wamemhakikishia Fadlu na benchi lake la ufundi sapoti ya kutosha kufanikisha mafanikio.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleHAYA HAPA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 22, 2025
    Next Article FADLU ATHIBITISHA KUONDOKA SIMBA, AWAAGA MASHABIKI KWA HESHIMA

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.