Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป YANGA SC YATWAA TAJI LA NGAO YA JAMII 2025/26
    KITAIFA

    YANGA SC YATWAA TAJI LA NGAO YA JAMII 2025/26

    ChikaoBy ChikaoSeptember 16, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Yanga sc
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    YANGA SC chini ya Kocha Mkuu, Romain Folz imetwaa taji la Ngao ya Jamii kwa ushindi mbele ya watani zao wa jadi Simba SC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa.

    Bao pekee la ushindi kwa Yanga SC limefungwa na Pacome dakika ya 53 akiwa ndani ya 18 akimfunga kipa Moussa Camara ambaye alianza kikosi cha kwanza.

    Yanga SC wameanza msimu wa 2025/26 wakitwaa taji ambalo walikuwa wanalitetea baada ya kutwaa msimu wa 2024/25 mbele ya Azam FC.

    Simba SC haijawa na bahati mbele ya Yanga SC kwa kuwa msimu wa 2024/25 katika mechi tatu walizokutana uwanjani walikwama kupata ushindi.

    Kwa mara nyingine tena Yanga SC wameendeleza ubabe wao kwa kupata ushindi ikiwa ni mara ya nne mfululizo mbele ya Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids.

    Kibu Dennis na Ellie Mpanzu ambao walianza kikosi cha kwanza nafasi ambazo walizitengeneza katika kipindi cha kwanza walikwama kuzibadili kuwa mabao jambo ambalo liliwapa tabu mpaka mwisho wa mchezo.

    Yanga SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleSIMBA SC YAPIGA HESABU HIZI ISIPOTEZE KWA YANGA SC
    Next Article Habari Kubwa Katika Magazeti ya leo Septemba 17, 2025

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.