Home KIMATAIFA Barcelona, Liverpool na Madrid vitani kumgombea Marc Guehi

Barcelona, Liverpool na Madrid vitani kumgombea Marc Guehi

162
0

JIUNGE KWENYE WHATSAPP CHANNEL YA SIMULIZI ZA SAUTI ZA WAKUBWA TU BONYEZA HAPA KUJIUNGA

Barcelona wako tayari kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kumnunua nahodha wa Crystal Palace Marc Guehi ambaye pia anawaniwa na Liverpool pamoja na Real Madrid.

Guehi mwenye umri wa miaka 25 amebakiza mwaka mmoja pekee katika mkataba wake na Crystal Palace, ataweza kusaini mkataba wa awali wa kandarasi na vilabu vya kigeni kuanzia Januari mwakani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here