Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป TFF YATOA MAELEKEZO KWA WAGOMBEA WA UCHAGUZI MKUU 2025
    KITAIFA

    TFF YATOA MAELEKEZO KWA WAGOMBEA WA UCHAGUZI MKUU 2025

    ChikaoBy ChikaoJune 18, 202511 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewataka waombaji wote wa nafasi ya uongozi kwenye Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika Agosti 16 mwaka huu Jijini Tanga kuhakikisha wanakuwa na Kanuni za Uchaguzi.

    Taarifa ya Juni 17, 2025 iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa wagombea hao wanapochukua fomu za kuwania uongozi katika uchaguzi huo wanatakiwa kuhakikisha wanapata na Kanuni hizo na kubainisha kuwa kwa wale ambao tayari wameshachukua fomu, wanatakiwa kuwasiliana na Sekretarieti ya TFF ili kupata Kanuni hizo.

    TFF imesema nafasi zinazowaniwa katika uchaguzi huo utakaoendeshwa na Kamati ya Uchaguzi ya TFF ni saba. Nafasi hizo ni Rais, na wajumbe sita wa Kamati ya Utendaji.

    Mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu ni saa 10 kamili jioni Agosti 20 mwaka huu. Fomu zinarudishwa katika ofisi za TFF.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleYANGA YAJIPANGA KWA POINTI TATU DHIDI YA PRISONS MBEYA
    Next Article OFISA HABARI WA AZAM FC ANALITAKA JIMBO

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    View 1 Comment

    1 Comment

    1. bangla Khobor Kolkata on June 21, 2025 11:36 pm

      I just like the helpful information you provide in your articles

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.