HomeKIMATAIFABUKAYO SAKA KUKAA NJE YA UWANJA WIKI NNE SABABU YA MAJERAHA

BUKAYO SAKA KUKAA NJE YA UWANJA WIKI NNE SABABU YA MAJERAHA

Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal Bukayo Saka huwenda akakosekana uwanjani kwa kipindi cha wiki tatu hadi wiki nne baada ya kupata jeraha la misuli ya paja ‘hamstring’ katika mchezo dhidi ya Leeds United.

Taarifa za awali ambazo bado hazijathibitishwa na klabu yake Saka zinaripoti kuwa nyota huyo atakaa nje ya uwanja kwa wiki nne akiuguza jeraha lake baada ya kuumia katika mchezo huo.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Most Popular

Recent Comments

Web Development Company in Kochi,Kerala on NEYMAR AMWAGA MACHOZI AKIKUTANA NA KIPIGO KIKUBWA ZAIDI KWAKE