Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » Ratiba ya Robo Fainali CHAN 2025 | Mechi za Robo fainali CHANI
    KITAIFA

    Ratiba ya Robo Fainali CHAN 2025 | Mechi za Robo fainali CHANI

    ChikaoBy ChikaoAugust 18, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Ratiba ya Robo Fainali CHAN 2025
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Ratiba ya Robo Fainali CHAN 2025 | Mechi za Robo fainali CHANI

    Mashindano ya CHAN 2025 yanaingia katika hatua ya kukatana shoka zaidi baada ya ratiba ya mechi za robo fainali kuthibitishwa rasmi. Hatua hii ni muhimu kwani inaamua timu zitakazofuzu kuingia nusu fainali na hatimaye kuwania taji la mashindano haya.

    Kwa mashabiki wa soka barani Afrika, hii ni nafasi ya kushuhudia vipaji vya wachezaji wanaocheza ligi za ndani wakionyesha ubora wao kwenye uwanja mkubwa wa kimataifa. Katika makala hii tutaangazia Ratiba ya Robo Fainali CHAN 2025 | Mechi za Robofainali CHANI, pamoja na siku, muda, na viwanja vitakavyotumika kuchezwa michezo hiyo.

    Ratiba ya Robo Fainali CHAN 2025

    Robo fainali ya michuano ya CHAN 2025 itachezwa kuanzia Ijumaa, tarehe 22 Agosti 2025 na kuendelea siku inayofuata. Mechi hizo zimepangwa katika viwanja vikubwa vya Afrika Mashariki ambavyo vimepewa heshima ya kuandaa hatua hii ya michuano.

    Ijumaa, 22 Agosti 2025

    • 17:00 – Kenya vs Madagascar – Moi Sports Centre Kasarani, Nairobi
    • 20:00 – Tanzania vs Morocco – Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

    Jumamosi, 23 Agosti 2025

    • 17:00 – Robo Fainali ya 3 – Uwanja wa Amaan, Zanzibar
    • 20:00 – Robo Fainali ya 4 – Uwanja wa Mandela National Stadium, Kampala
    CAF
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleROONEY AWAONYA LIVERPOOL JUU YA MCHEZAJI ‘ISACK’ KUIGOMEA NEWCASTLE
    Next Article Msimamo wa Ligi Kuu England EPL 2025/2026

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.