Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » KAIZER CHIEFS YAFIKA SH MIL 500KWA KIBU, SIMBA YACHOMOA
    KITAIFA

    KAIZER CHIEFS YAFIKA SH MIL 500KWA KIBU, SIMBA YACHOMOA

    ChikaoBy ChikaoJune 6, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Kibu
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    SIMBA imekataa ofa ya Sh 500Mil kutoka Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ya kumuuza kiungo wake mshambuliaji , Kibu Denis katika msimu ujao.

    Inaelezwa sababu ya kugomea kumuachia kiungo huyo, udogo wa dau hilo ambalo alijawashawishi Bodi ya Wakurugenzi ya timu hiyo.

    Hivyo lazima dili hilo la Kibu kuuzwa Chiefs limekufa rasmi, kiungo huyo ataendelea kubakia hapo katika msimu ujao kukipambania kikosi hicho.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticlePERCY TAU AVUNJA MKATABA NA QATAR SC, SASA NI MCHEZAJI HURU
    Next Article UNAHITAJI SAMSUNG A25?, BASHIRI NA MERIDIANBET

    Related Posts

    YANGA, AZAM FC USO KWA USO KUSAKA FAINALI YA MUUNGANO

    April 25, 2026

    SIMBA YASHIKA NAFASI YA 19 DUNIANI, IPO LEVO ZA MADRID

    April 25, 2026

    TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI TAREHE 25.4.2025

    April 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    YANGA, AZAM FC USO KWA USO KUSAKA FAINALI YA MUUNGANO

    SIMBA YASHIKA NAFASI YA 19 DUNIANI, IPO LEVO ZA MADRID

    HILI HAPA DAU LA KUMPATA COLE PALMER

    TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI TAREHE 25.4.2025

    PRESHA YA KUUKOSA UBINGWA YATAWALA REAL MADRID

    TAREHE PAMOJA NA UWANJA AMBAO DABI YA KARIAKOO ITAPIGWA

    SIMBA SC YAWINDA MAJIBU KWA MLANDAGE, SI KISASI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.