NYOTA wawili kutoka Azam FC ambao wanatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Yanga SC wametajwa na bosi wa kutoka mitaa ya Jangwani. Ni Feisal Salum kiungo mshambuliaji ambaye ni kinara kwa utengenezaji pasi za mwisho akiwa nazo 13 na Giblil Sillah mwenye pasi mbili za mabao. Mbali na pasi mbili za mab
Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Manchester United Erik Ten Hag amesaini rasmi leo kuwa kocha mpya wa Bayer Leverkusen. Klabu ya Bayer Leverkusen imethibitisha kuwa Ten Hag amerithi rasmi mikoba ya aliyekuwa kocha wao Xabi Alonso, Huku Ten Hag amesaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2027. Xabi am
KIUNGO mshambuliaji mpya ndani ya kikosi cha Wydad Casablanca, Aziz Ki tayari ameanza mazoezi na timu hiyo mara baada ya kumtambulisha. Ikumbukwe kwamba Ki aliibuka ndani ya timu hiyo akitokea kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi. Mchezo wa mwisho akiwa na uzi wa Yanga SC il
Alonso aliyekuwa mchezaji na mshindi wa taji la Ligi ya Mabingwa akiwa na Real Madrid anaenda kurithi mikoba ya aliyekuwa kocha wake akiwa Madrid Carlo Ancelotti aliyeaga jana. Alonso atahudumu Bernabeu hadi Mwaka 2028.
FT: Uwanja wa New Amaan Complex Simba SC 1-1 RS Berkane, (1-3) RS Berkane wanapata bao la kuweka usawa dakika ya 90. Dakika ya 70 Steven Mukwala alipachika bao ambalo VAR limefuta kwa kueleza kuwa alikuwa kwenye mtego wa kuotea. Yusuph Kagoma kiungo wa Simba SC ameonyeshwa kadi mbili za njano na kuo
Katika ardhi ya Tanzania Mnyama Simba hajawahi kushindwa kitu. Mifano iko mingi. Mingi mno. Naamini kila shabiki wa Simba SC atatimiza jukumu pake mama kimsingi. Kushangilia na kuzomea, lakini wachezaji ndio wafanisi wenyewe kwenye vita hii ya kihistoria katika nchi na klabu kiujumla. Wachezaji ndio
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu katika bunge jana Tarehe 24, May alikumbusha bunge hilo kuwa Jumapili ya leo kuna jambo muhimu la kitaifa. Akizungumza wakati akihitimisha shuguli za bunge, Zungu amesema historia inakwenda kuandikwa siku ya Jumapili. Ifahamike kwamba Jumapili kikosi cha Simba
BAADA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Aziz Ki taarifa kueleza kuwa anaondoka ndani ya kikosi hicho kuelekea Wydad inaelezwa kuwa kuna nyota mwingine tena anaondoka katika kikosi hicho. Aziz Ki amekuwa kwenye mwendo mzuri ndani ya Yanga SC akiwa kacheza jumla ya mechi 114 na kutoa pasi 57 za mabao
WABABE wawili ndani ya ardhi ya Tanzania kwenye eneo la mpira wa miguu ndani ya ligi ya vijana huko kwao mambo ni magumu kutokana na aina ya matokeo ambayo wanayaoata ndani ya uwanja. Ni Yanga SC na Simba SC katika NBC Youth League 2024/25 mambo ni magumu kwao kutokana na mwendo ambao wapo nao katik
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa Simba SC chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids hesabu kubwa ni kuingia kwa mkakati kuwakabili wapinzani wao RS Berkane kwenye mchezo wa fainali ya pili Kombe la Shirikisho Afrika. Fadlu Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC ameweka wazi kuwa wanatambua mchezo ul
SIMBA SC wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Kombe la Shirikisho Afrika, Mei 25 2025 watakuwa na kazi nzito mbele ya RS Berkane kwenye mchezo wa fainali ya pili la Kombe la Shirikisho Afrika huku beki wao akiwa kwenye asilimia kubwa kurejea uwanjani. Jina lake ni Abdulrazack Ham
MTENDAJI Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin, maarufu kwa jina la Popat baba yake mzazi ametangulia mbele za haki Mei 23 2025. Taarifa iliyotolewa na Azam FC imeeleza namna hii: Asalaam Aleykum wa Rahmatullahi wa Barakatuhu! “Kwa masikitiko makubwa, Azam FC inatangaza kifo baba mzazi wa Mtendaji wetu M