Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป SIMBA KUANZA MCHAKATO WA KUMPATA MRITHI WA ZIMBWE
    KITAIFA

    SIMBA KUANZA MCHAKATO WA KUMPATA MRITHI WA ZIMBWE

    ChikaoBy ChikaoAugust 6, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    MRITHI wa kitambaa cha unadhoa ndani ya kikosi cha Simba SC kwa sasa anatafutwa mara baada ya beki huyo wa kushoto kutambulishwa Jangwani.

    Zimbwe Jr alikuwa nahodha wa Simba SC msimu wa 2024/25 mkataba wake ulipogota mwisho hakuongeza kandarasi nyingine hivyo katambulishwa Jangwani akiwa mchezaji huru.

    Inatajwa kuwa mabosi wa Simba SC na benchi la ufundi linafanyia kazi orodha ya wachezaji waliopo ndani ya Simba SC huku jina la Shomari Kapombe likitajwa kuwa miongoni mwa majina yanayopewa kipaumbele.

    Mbali na Kapombe, Mzamiru Yassin na Ellie Mpanzu ni miongoni mwa majina ambayo yanatajwa kuwa kwenye hesabu za mastaa hao kupewa hadhi ya kuvaa kitambaa cha unahodha.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMkongomani wa Tabora asaini miwili Dodoma Jiji.
    Next Article MAGAZETI YA MICHEZO LEO ALHAMIS TAREHE 7-8-2025

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.