Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » BEKI WA SIMBA CHE MALONE AANZA KAZI USM ALGER
    KITAIFA

    BEKI WA SIMBA CHE MALONE AANZA KAZI USM ALGER

    ChikaoBy ChikaoAugust 5, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Che Malone
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    BAADA ya kutambulishwa katika Klabu ya USM Algers ya nchini Algeria beki Fondoh Che Malone ameanza mazoezi katika kikosi hicho.

    Beki huyo anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga ndani ya kikosi cha Simba SC kwenye mechi za ligi ilikuwa Uwanja wa KMC, Mwenge Dar.

    Katika mchezo huo Che Malone alifungua ukurasa wa mabao kwa kutumia pasi ya kiugo mshambuliaji Jean Ahoua ambaye ni namba moja kwa kufunga mabao mengi akiwa nayo 16 kibindoni.

    Che Malone ambaye alifungua ukurasa wa mabao kwenye mchezo dhidi ya Tabora United dakika ya 13 kwa pigo la kichwa  wiki hii alitambulishwa USM Algers ambako Simba SC ilimuuza baada ya klabu hiyo kuonyesha nia ya kumuhitaji baada ya kuonyesha kiwango kikubwa.

    Che Malone anachukua nafasi ya Kelvin Mondeko ambaye mkataba wake ulivunjwa baada ya makubaliano ya pande mbili.

    Julai 30 2025, Che Malone alipewa Thank You na Simba SC ambayo imeweka kambi nchini Misri kwa maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleRASMI: CLEMENT MZIZE KUUZWA KWA WAARABU TIMU HII
    Next Article KISA SIMBA, ZIMBWE AMJIA JUU ALI KAMWE ‘NAIHESHIMU SIMBA’

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.