Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป HUU HAPA UKWELI WA AUCHO KUCHEZA SIMBA
    KITAIFA

    HUU HAPA UKWELI WA AUCHO KUCHEZA SIMBA

    ChikaoBy ChikaoAugust 3, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    WAKATI akitajwa kuwa huenda anaweza kuwa nyeupe na nyekundu kiungo mkabaji Khalid Aucho inaelezwa kuwa mpango huo ni ngumu kukamilika.

    Tetesi zimekuwa zikieleza kuwa Simba SC inahitaji huduma ya Aucho ambaye mkataba wake umegota mwisho ndani ya Yanga SC msimu wa 2024/25.

    Kwa sasa ni mchezaji huru na amewashukuru Yanga SC na mashabiki kwa kuwa naye bega kwa bega nyakati zote hizo alipokuwa na uzi wa kijani na njano.

    Aucho msimu wa 2024/25 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika alihusika kwenye mabao mawili, alifunga bao moja na kutoa pasi moja ya bao.

    Taarifa zinaeleza kuwa mchezaji Aucho kwa sasa hayupo tayari kucheza ndani ya Tanzania kwa timu nyingine nje ya Yanga SC hivyo atakwenda kupata changamoto nje ya Bongo.

    Kwa maana hiyo ikiwa Simba SC wanahitaji saini ya Aucho kwa msimu wa 2025/26 itakuwa ngumu kwao kuipata kulingana na mipango ya mchezaji mwenyewe kwa sasa.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMAPILI TAREHE 3-8-2025
    Next Article WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA UFUNGUZI MICHUANO YA CHAN 2024

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.