KIMATAIFA

ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2023/2024 IFFHS Ranking

ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2023/2024 IFFHS Ranking

ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2023/2024 IFFHS Ranking,Kwa mujibu wa Shirikisho la kukusanya takwimu na kutunza Historia za mpira wa miguu Duniani (IFFHS), Yanga imetajwa kushika nafasi ya nne miongoni mwa klabu zilizofanya vizuri katika msimu wa 2023/24.

Takwimu za IFFHS zinazingatia mashindano yote ambayo timu imeshiriki katika msimu uliopita.

Takwimu hizi ni tofauti na zile zinazotolewa na CAF ambazo zinazingatia ushiriki wa klabu katika mashindano yanayosimamiwa na Shirikisho hilo katika kipindi cha miaka 5.

Yanga imeingia katika orodha ya vilabu 5 Bora Afrika, ikiwa klabu pekee kutoka Afrika Mashariki kufikia hatua hiyo.

Aidha mafanikio haya yanaashiria maendeleo makubwa ya soka nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.

Klabu hiyo imekuwa na msimu wa mzuri, ikiwashinda wapinzani wao wa jadi Simba SC kwa kuonyesha kiwango cha juu kwenye misimu minne mfululizo.

ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2023/2024 (IFFHS Ranking)

ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2023/2024 (IFFHS Ranking)

Msimu uliopita Yanga ilitwaa taji la Ligi Kuu, kombe la Shirikisho la CRDB na pia kutinga Robo Fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa.

ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2023/2024 IFFHS Ranking

Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Soka (IFFHS) limetoa orodha yake ya kila mwaka ya vilabu bora Afrika, ikiwa ni vilabu vilivyoonyesha kiwango bora na mafanikio makubwa katika msimu uliopita wa 2023/2024.

Orodha hii inaangazia vilabu vya barani Afrika vilivyotwaa Ubingwa na kuonesha ubora wa hali ya juu katika kucheza soka.

Orodha  Kamili ya vilabu Bora Afrika Msimu wa 2023/2024 kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Soka (IFFHS).

IFFHS Men’s Club Africa Ranking 1 July 2023 – 30 June 2024.

1:Al Ahly – Egypt.
2:Zamalek – Egypt.
3:RS Berkane – Morocco.
4:Young Africans – Tanzania.
5:Esperance de Tunis – Tunisia.
6:Petro de Luanda – Angola.
7:Mamelodi Sundown – South Africa.
8:Pyramid FC – Egypt.
9:TP Mazembe – DR Congo.
10:USM Alger – Algeria.
11:CR Belouizdad – Algeria.
12:Raja Casablanca – Morocco.
13 ASEC Mimosas – Ivory Coast.
14:AS FAR Rabat – Morocco.
15:Stade Malien – Mali.
16:Future FC – Egypt.
17:Dreams FC – Ghana.
18:Wydad Casablanca – Morocco.
19:Simba SC – Tanzania.
20:MC Alger – Algeria.

Top 20 (1st July 2023 – 30th June 2024
CR WR Country / level Points
1 19 Al Ahly SC Egypt / 5 / EGY 226
2 93 Zamalek SC Egypt / 5 / EGY 139,5
3 100 RSB Berkane Morocco / 4 / MAR 133,75
4 136 Young Africans SC Tanzania / 2 / TAN 112,75
5 138 Esperance ST Tunisia / 3 / TUN 111,75
5 138 Atlético Petro de Luanda Angola / 2 / ANG 111,75
7 140 Mamelodi Sundowns FC South Africa / 2 / RSA 111
8 148 Pyramids FC Egypt / 5 / EGY 107,75
9 153 TP Mazembe Congo DR / 2 / COD 106
10 167 USM Alger Algeria / 3 / ALG 100,5
11 175 CR Belouizdad Algeria / 3 / ALG 97,5
12 190 Raja CA Casablanca Morocco / 4 / MAR 91,75
13 193 ASEC Mimosas Côte d’Ivoire / 2 / CIV 90,75
14 194 FAR Rabat Morocco / 4 / MAR 90
15 209 Stade Malien Bamako Mali / 2 / MLI 85,75
16 212 Modern SC Egypt / 5 / EGY 85
17 224 Dreams Ghana / 2 / GHA 83,5
18 240 Wydad AC Casablanca Morocco / 4 / MAR 79,75
19 264 Simba SC Tanzania / 2 / TAN 77,5
20 266 MC Alger Algeria / 3 / ALG 76,5

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button