Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » HARRY KANE HUENDA AKAHAMIA MAN UNITED
    KIMATAIFA

    HARRY KANE HUENDA AKAHAMIA MAN UNITED

    ChikaoBy ChikaoSeptember 25, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Manchester United inamtaka mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane, 32, ambaye huenda akaondoka Bayern Munich msimu ujao wa kiangazi.

    Tetesi zinaonyesha kwamba nyota huyo wa zamani wa Tottenham Hotspur anaweza kutaka kumalizia kibarua chake Allianz Arena msimu ujao wa joto, licha ya kuongezewa kandarasi hadi 2027.

    Kulingana na gazeti la Daily Star, “Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 anaripotiwa kuwa na hamu ya kurejea Ligi Kuu ya Uingereza baada ya Kombe la Dunia la FIFA 2026, huku Manchester United ikitajwa kuwa timu inayohitaji kwa ukubwa huduma ya mchezaji huyo.

    Taarifa zinasema Kane ataweza kupatikana kwa ada ya pauni milioni 56.8.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleWAYNE ROONEY: SIMCHUKII RONALDO, LAKINI MESSI NI BORA
    Next Article MKURUGENZI WA “CECAFA” ASIMAMISHWA KAZI

    Related Posts

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    March 24, 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    March 20, 2026

    RICHARLISON SHUJAA WA TOTTENHAM VS LIVERPOOL, WAIPINGIZA MAKALI

    March 16, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.