Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » WAYNE ROONEY: SIMCHUKII RONALDO, LAKINI MESSI NI BORA
    KIMATAIFA

    WAYNE ROONEY: SIMCHUKII RONALDO, LAKINI MESSI NI BORA

    ChikaoBy ChikaoSeptember 25, 202511 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Gwiji wa Manchester United Wayne Rooney hajawahi kuona haya kueleza hisia zake.
    Mchezaji huyo wa zamani na kocha bado anaamini kuwa Lionel Messi ndiye mchezaji bora zaidi kuliko Cristiano Ronaldo huku akisisitiza kwamba hamchukii fowadi huyo anayekipiga na klabu ya Al Nassr.

    Akiongea kwenye podcast ya Rio Ferdinand Rooney alisema;

    “Watu wanadhani namchukia! Nampenda! Ni mkali sana na anafanya maajabu. Sidhani kama watu wanatambua jinsi mimi na yeye tulivyokuwa karibu.”

    “Mimi napendelea jinsi Messi anavyocheza, ndio hivyo, wewe unaweza kumpenda Cristiano na mwingine akampenda Messi” akamalizia Rooney. [ez-toc][ez-toc]

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleLEO SIMBA SC KUKICHAPA NA FOUNTAIN GATE KWA MKAPA
    Next Article HARRY KANE HUENDA AKAHAMIA MAN UNITED

    Related Posts

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    March 24, 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    March 20, 2026

    RICHARLISON SHUJAA WA TOTTENHAM VS LIVERPOOL, WAIPINGIZA MAKALI

    March 16, 2026
    View 1 Comment

    1 Comment

    1. Goba jr on September 25, 2025 6:19 pm

      Comment: hata kwa upande wangu mess ni bora wa mda wte got.

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.