Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » SERIKALI YATOA KAULI JUU YA SAKATA LA PAMBA JIJI KUFANYA MAZOEZI GIZANI
    KITAIFA

    SERIKALI YATOA KAULI JUU YA SAKATA LA PAMBA JIJI KUFANYA MAZOEZI GIZANI

    ChikaoBy ChikaoSeptember 24, 202511 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

     

    Baada ya taarifa kusambaa mitandaoni ikionesha wachezaji wa Pamba Jiji wakifanya mazoezi gizani katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Serikali imesema timu hiyo ilifika uwanjani hapo pasipo kutoa taarifa rasmi ya kufanya mazoezi ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga SC Septemba 24, 2025.

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeeleza kuwa wakati timu hiyo imewasili uwanjani hapo saa 12:35 jioni, wataalamu wa umeme walikuwa wamekwisha ondoka na hivyo ikawalazimu kuwarudisha kazini na kufanikiwa kuwasha taa za uwanja huo saa 1:8 usiku.

    “Wizara imesikitishwa na usambazaji wa picha jongefu zinazoonesha wachezaji wakifanya mazoezi gizani licha ya kuwa chanzo chake ni makosa ya timu ya Pamba Jiji FC yenyewe, na imekiona kitendo hicho kama ni kuharibu heshima na taswira ya menejimenti ya uwanja, ambayo imekuwa ikifanya kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa,” imesema taarifa iliyotolewa na wizara.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMOHAMED HUSSEIN AFICHUA VITA YAKE NA BOKA INAYOENDELEA YANGA
    Next Article MIRAMBO ATEULIWA KUWA KARIBU MKUU WA TFF

    Related Posts

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    March 24, 2026

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    March 24, 2026

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    March 24, 2026
    View 1 Comment

    1 Comment

    1. Goba jr on September 25, 2025 6:29 pm

      Comment: walifanya hvyo ili waonekane watu sio wawajibkaji

      Reply
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.