Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » NKUNKU ASAINIWA RASMI AC MILAN KWA DAU KUBWA
    KIMATAIFA

    NKUNKU ASAINIWA RASMI AC MILAN KWA DAU KUBWA

    ChikaoBy ChikaoAugust 31, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    AC Milan wamemsajili Christopher Nkunku kutoka Chelsea kwa mkataba ambao unaweza kufikia pauni milioni 36.

    Nkunku mwenye umri wa miaka 27 ametia saini mkataba wa miaka 5 na kufanya mauzo ya Chelsea msimu huu kufikia pauni milioni 314.

    Nkunku anaondoka akiwa amefunga mabao 18 katika mechi 62 tangu asajiliwe kutoka RB Leipzig Juni 2023 kwa Pauni milioni 52.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleCHELSEA YAMNASA ALEJANDRO GARNACHO KUTOKA MANCHESTER UNITED
    Next Article PITIA MAGAZETI YA MICHEZO LEO SEPTEMBA 1, 2025

    Related Posts

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    March 24, 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    March 20, 2026

    RICHARLISON SHUJAA WA TOTTENHAM VS LIVERPOOL, WAIPINGIZA MAKALI

    March 16, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    HII HAPA SABABU KUBWA YA MPANZU KUTO WASALITI SIMBA

    UAMUZI WA KIUFUNDI WAMUWEKA MPANZU SIMBA

    DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

    Yanga Yamrudisha Kocha Abdihamid Moalin Kuinua Kiwango cha Timu

    Zidane Kurithi Mikoba ya Deschamps Ufaransa Baada ya Kombe la Dunia 2026

    Katibu wa Senegal asema Kombe halitaondoka Nchini kwao.

    FIFA YAPITISHA SHERIA MPYA 6 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2026

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.