LATEST POSTS

FOLZ ANAJIPANGA KUENDELEZA REKODI YA KUISULUBU SIMBA – KAMWE

0
Klabu ya Yanga imesema haifanyi utani kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii, hivyo Kocha Mkuu, Romain Folz, amekuwa na 'programu' nne tofauti za maandalizi...

RAMOS ALIUMIA SANA KUONDONA MADRID

0
Beki wa zamani wa Real Madrid Sergio Ramos ameachia wimbo unaoitwa “Cibeles" akiimba mambo ya kihisia mengi kama sintofahamu ya yeye kuondoka Madrid. Ramos hakutaka...

SIMBA YATAMBULISHA CHUMA KIPYA CHA MOTO

0
Simba imefanikiwa kumsajili mlinzi wa kati wa JKT Tanzania na kikosi cha Taifa Stars, Wilson Nangu kwa mkataba wa miaka miwili. Nyota huyo aliyekuwa na...

KAMWE AMJIBU FADLU NA KUSEMA SISI TUNAO WA MARA TATU

0
KAULI ya Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids kwamba kikosi chake kinakosa mchezaji mwenye uwezo wa kipekee wa kuamua matokeo ya mechi (maarufu...
wiki ya wananchi

YANGA KWA SASA NI MWENDO WA “KUPIGA KICHWANI TU”

0
Meneja Habari na mawasiliano Klabu ya Yanga ametangaza kauli mbiu mpya kuelekea msimu mpya wa mashindano wa 2025/26 ikiwa ni siku chache kabla ya...

SIMBA INA MECHI NGUMU SANA KWENYE LIGI KULIKO YANGA

0
Mchambuzi wa soka @mzeewajambia ameandika ujumbe kuhusu kauli ya Kocha Mkuu wa Simba aliyoisema hivi karibuni ya kumuhitaji mchezaji mwingine kwenye eneo lake la...

MOURINHO AINGIZA BILIONI 300 KWA KUFUKIZWA

0
Mourinho ameripotiwa kuingiza zaidi ya Tsh 300 bilioni kutokana na kutimuliwa na vilabu vinapaswa kumlipa fidia wakati wa kuvunja kandarasi mapema. Hadhi yake kama kocha...

LIVERPOOL YANYAN’GANYWA TONGE MDOMONI DILI LA GUEHI

0
Marc Guehi ni rasmi atasalia Crystal Palace licha ya kufanyika kwa makubaliano ya kujiunga na klabu Liverpool mapema siku ya leo kabla ya Crystal...

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 2 2025

0
Pitia vichwa vya habari kwenye magazeti ya leo septemba 2 2025 na ujipatie nakala yako leo kwa undani wa taarifa za habari. HAYA HAPA MAGAZETI...
Senne Lammens

MANCHESTER UNITED YANASA SAINI YA MBADALA WA ONANA

0
Klabu ya Manchester United imekamilisha makubaliano ya kumsajili golikipa Senne Lammens raia wa Ubeljiji akitokea Royal Antwerp FC, huku akitarajiwa kusaini mkataba wa miaka...
Alexander Isak

ALEXANDER ISAK NI SUALA LA MUDA KUTAMBULISHWA LIVERPOOL

0
Klabu ya Liverpool imekmilisha mazungumzo na klabu ya Newcastle United ili kuinasa saini ya mshambuliaji Alexander Isak ukitarajia kuwa usajili utakaoweka historia kwenye Ligi...
JKT Queens

JKT QUEENS WAKABIDHIWA BENDERA KUIWAKILISHA NCHI KIMATAIFA

0
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro، Nurdin Babu (Kulia) akimkabidhi bendera ya Taifa Kanali Geoffrey Mvula (kushoto) Mwenyekiti wa timu za JKT katika hafla ya...

TIMES FM KUTANGAZA MUBASHARA KAGAME CUP

0
MSIMU mpya wa Kombe la Kagame (Kagame Cup) unaanza kesho Septemba 2, 2025 kwa mechi mbili kuchezwa kwenye uwanja wa Major General Isamuhyo, Dar...

NKUNKU ASAINIWA RASMI AC MILAN KWA DAU KUBWA

0
AC Milan wamemsajili Christopher Nkunku kutoka Chelsea kwa mkataba ambao unaweza kufikia pauni milioni 36. Nkunku mwenye umri wa miaka 27 ametia saini mkataba wa...

CHELSEA YAMNASA ALEJANDRO GARNACHO KUTOKA MANCHESTER UNITED

0
Klabu ya Chelsea imethibitisha kukamilisha usajili wa winga chipukizi wa Kimataifa wa Argentina, Alejandro Garnacho, akitokea Manchester United kwa ada ya uhamisho ya Euro...

AMORIM KOCHA WA MAN U, HANA UHAKIKA NA KIBARUA CHAKE

0
Kocha wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema hajui nini kitatokea kwenye ajira yake wakati wa mapumziko ya kimataifa. Akijibu maswali ya wanahabari jana Ijumaa, kama...

YANGA SC KAMILI, MASHINE SITA ZAANZA KAZI

0
MASHINE za kazi kwa ajili ya msimu mpya wa 2025/26 zimewasili ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz. Yanga SC...
Fenerbahce

Fenerbahce yamfuta kazi Jose Mourinho

0
Klabu Fenerbahce wameamua kumfuta kazi kocha wao Jose Mourinho. Klabu hiyo ya Uturuki imeamua kuachana na Mourinho ikiwa ni siku mbili baada ya klabu...

LATEST POSTS

ZILIZOSOMWA ZAIDI WIKI HIII