Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป ROONEY AMTABIRIA MABAYA ARTETA, AMSHAURI APIGE KAZI
    KIMATAIFA

    ROONEY AMTABIRIA MABAYA ARTETA, AMSHAURI APIGE KAZI

    ChikaoBy ChikaoFebruary 10, 202601 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    rooney
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    GWIJI wa Ligi Kuu England, Wayne Rooney, ameonya kuwa Mikel Arteta anaweza kufukuzwa kazi endapo atashindwa kuipa Arsenal taji la Ligi Kuu msimu huu ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ†

    Arsenal kwa sasa inaongoza ligi kwa pointi sita mbele ya Manchester City, na imekuwa vinara wa kubashiriwa kushinda taji lao la kwanza tangu mwaka 2004. Kwa mujibu wa Rooney, nafasi hiyo nzuri inaondoa kabisa visingizio kwa Arteta.

    Akizungumza kwenye kipindi cha The Wayne Rooney Show, amesema: โ€œArsenal wamemuunga mkono Arteta kwa kiwango kikubwa na wamempa kikosi bora sana. Kama hawatashinda mwaka huu, kutakuwa na presha kubwa kwake, bila shaka.โ€

    Rooney pia anaamini ushindi wa kusisimua wa Man City dhidi ya Liverpool Anfield unaweza kuwa umeathiri kisaikolojia kikosi cha Arteta. City ilirejea kutoka nyuma na kushinda 2-1, hali iliyopunguza pengo kutoka pointi tisa hadi sita.

    Je, Arteta atakamilisha kazi au presha itamlemea?

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleLIVERPOOL ILIMCHELEWESHA SANA LUIS DIAZ
    Next Article KOCHA WA SIMBA AICHIMBA MKWARA KMC FC

    Related Posts

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    April 7, 2026

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    April 4, 2026

    TETESI: TIMU YA MESSI YAMFUKUZIA BERNARDO SILVA

    March 25, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.