Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home ยป TETESI: NABI YUPO MBIONI KUIONA KLABU HII KUBWA NCHINI
    KITAIFA

    TETESI: NABI YUPO MBIONI KUIONA KLABU HII KUBWA NCHINI

    ChikaoBy ChikaoSeptember 30, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Kocha Nasreddine Nabi amewasili Jijini Dar es Salaam leo asubuhi, hatua ambayo imezua tetesi kuwa yupo mbioni kutangazwa rasmi kuinoa moja ya timu kubwa nchini.

    Kwa sasa haijafahamika ni klabu ipi atajiunga nayo, lakini vyanzo vya karibu vinaeleza kuwa mazungumzo yako katika hatua za mwisho kabla ya kutangazwa rasmi.

    Mashabiki wanasubiri kwa hamu kujua ni timu gani itakayofanikiwa kumsajili kocha huyo mwenye rekodi nzuri kwenye soka la Afrika Mashariki.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleMOURINHO ATANGAZA VITA KALI DHIDI YA CHELSEA LEO
    Next Article HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO OKTOBA 1, 2025

    Related Posts

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    April 19, 2026

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    April 19, 2026

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    April 19, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    TETESI: YANGA YAHAMISHIA MAJESHI KWA WINGA WA SINGIDA

    KIBABAGE NA KANTE KUUKOSA MCHEZO DHIDI YA NAMUNGO

    KAMWE AZUNGUMZA JUU YA YANGA KUMSAJILI “SELEMANI MWALIMU”

    REFA ATUMIA SIMU KAMA VAR

    SINGIDA BLACK STARS WAZIPIGA MKWARA SIMBA, YANGA NA AZAM FC

    BERNARDO AAGWA NA MAN CITY RASMI

    WANA SIMBA WASIFEDHESHWE, TUNAJUA NAMNA YA KUPUNGUZA POINTI

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.