Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Facebook X (Twitter) Instagram
    SOKALEO
    • HOME
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • TETESI ZA SOKA
    • MAGAZETI YA LEO
    • FORUM
    • BOXING
    SOKALEO
    Home » SIMBA YACHEZEA MABAO 4 HUKO MISRI KWENYE MCHEZO WA KIRAFIKI
    KITAIFA

    SIMBA YACHEZEA MABAO 4 HUKO MISRI KWENYE MCHEZO WA KIRAFIKI

    ChikaoBy ChikaoAugust 18, 202501 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    simba
    Share
    WhatsApp Facebook Telegram Twitter Pinterest Email

    Klabu ya ENPPI ya ligi kuu Nchini Misri imetangaza kuibuka na ushindi wa mabao 4-3 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa siku ya  jana jijini Cairo, Misri.

    Klabu ya Simba ilishiriki kwenye mchezo huo kwa mualiko maalum wa klabu hiyo katika sherehe za miaka 40 ya kuanzishwa kwa klabu ya hiyo ya ENPPI.

    Mgeni rasmi katika tukio hilo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri, Jenerali Richard Makenzo, akishirikiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa ENPPI, Bwana Ayman Al-Shari.

    Licha ya kuwa klabu ya Simba haijathibitisha kucheza mchezo huo lakini timu ya Enppi imethibitisha hilo kupitia ukurasa wao wa Instagram walipoambatanisha na picha za matukio ya mchezo huo.

    Simba SC
    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Previous ArticleCLEMENT MZIZE BADO ANA MKATABA NA YANGA
    Next Article ROONEY AWAONYA LIVERPOOL JUU YA MCHEZAJI ‘ISACK’ KUIGOMEA NEWCASTLE

    Related Posts

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    April 8, 2026

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    April 8, 2026

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    April 7, 2026
    Add A Comment
    Leave A Reply Cancel Reply

    LATEST POSTS

    SIMBA YAANZA USAJILI NA MIPANGO YA UWANJA MPYA BUNJU

    SURE BOY HATIMAE AOMBA KUSEPA YANGA

    HATIMAE MIGUU IMEANZA KUMSALITI CHAMA

    AFCON EAST AFRICA TAREHE YATANGAZWA

    MPANZU NA FEI TOTO WAKUTANA USO KWA USO KWENYE VITA YA ASSIST

    IBENGE ATANGAZA VITA JUU YA KIKOSI CHA SIMBA

    MBAPPE: NITACHEZEA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON

    © 2026 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.