Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars itashuka leo dimbani majira ya saa 2 usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na Timu ya Taifa ya Burkina Faso kwenye mchezo wa kwanza wa kundi B katika ufunguzi wa mashindano ya CHAN 2024. CHAN ni Mashindano yanayohusisha wachezaji wa ligi za ndani ambayo
Taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) limetangaza rasmi kuingia makubaliano ya udhamini wa miaka minne na mabingwa wa Hispania FC Barcelona wenye thamani ya Bilioni 134 kwa ajili ya kuvutia utalii na kuhamasisha uwekezaji kutoka nje ya Taifa lao. Kutokana na mkataba huo wachezaji wa Barcel
Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi mshambuliji Célestin Ecua, raia wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 23, kama mchezaji mpya wa kikosi chao kwa msimu ujao, akitokea klabu ya Zoman FC ya nchini kwao. Ecua alikuwa kwenye kiwango bora msimu uliopita akiwa na Zoman FC, ambapo alifunga magoli 15 na kut
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limemfuta kazi aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Waamuzi, Désiré Noumandiez Doué, kwa makosa yaliyofanywa katika Kombe la Afrika la Wanawake. Haya yanajiri baada ya Shirikisho la soka la Morocco (FRMF), kuwashutumu Waamuzi akiwemo Mukansanga Salima na Umutesi Alice
RASMI Simba SC imemalizana na mshambuliaji wa mabao Jonathan Sowah ambaye alikuwa mali ya Singida Black Stars na sasa atakuwa mali yao. Ikumbuwe kwamba Julai 31 2025 Simba SC ilitambulisha wachezaji wawili wapya ambao ni Morice Abraham alitambulishwa ndani ya Simba SC Julai 31 2025 na Hussein Daudi
Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi mshambuliaji Andy Bobwa Boyeli (24) kama mchezaji mpya wa kikosi hicho kwa mkataba wa mkopo wa msimu mmoja kutoka Sekhukhune United ya Afrika Kusini, ukiwa na kipengele cha kununuliwa kabisa mwishoni mwa mkataba. Boyeli anasifika kwa uwezo mkubwa wa kufumania nyav
Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba Queens, Precious Christopher amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Yanga Princess wenye kipengele cha kuongeza kama atafanya vizuri. Msimu uliopita Precious aliichezea Simba Queens akifunga mabao mawili na asisti tatu kwenye mechi 18 za Ligi Kuu alizocheza. Kwa ma
Unaweza kuliita pigo kuu kwa timu ya taifa ya Kenya, maarufu kama ‘Harambee Stars’ inayoshiriki michuano ya CHAN 2024, baada ya kiungo wao fundi Mohammed Bajaber kujiunga na Simba Sports Club ya Tanzania kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu na michuano mingine ya kimataifa. Bajaber anadaiwa kujiunga
Kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania Morice Abraham amejiunga rasmi na wekundu wa msimbazi kama mchezaji wao kuelekea msimu ujao wa mashindano akitokea Spartak Subotica ya Serbia kwa mkataba wa miaka miwili. Morice ambaye amefanya mazoezi na timu ya Simba mwishoni mwa msimu uliopita ni chagu
Bodi ya ligi kuu soka Tanzania bara imetangaza rasmi kuwa msimu mpya wa ligi kuu soka Tanzania bara utaanza Septemba 16,2025. Kwa namna heka heka za usajili zilivyo mpaka sasa unadhani ni timu gani ina uwezo wa kutwaa ubingwa wa ligi msimu wa 2025/26?
Klabu ya Azam FC imeendelea na harakati zake za kusaka ubingwa kwa msimu ujao kwa kumsajili rasmi winga hatari Pape Doudou Diallo, raia wa Senegal mwenye umri wa miaka 21. Mchezaji huyo ametambulishwa leo katika viunga vya Azam Complex, Chamazi. Diallo amesaini mkataba wa miaka miwili utakaoendelea
NI majeraha ambayo yalifanya asionyeshe ubora wake akiwa katika uwanja msimu wa 2024/25 na alipata maumivu makubwa kwenye mchezo dhidi ya TaboraUnited alipokomba dakika 10 pekee, Uwanja wa Azam Complex. Ilikuwa ni Novemba 6 2024 zama za Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Anaitwa Aziz Andambilwe alicheza ju