Mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC na Petro de Luanda ya Angola umemalizika kwa Wekundu wa Msimbazi kupokea kichapo cha bao 1-0 katika dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Simba, ambayo ilihitaji ushindi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuendelea na mbio za