
Kitaifa
KUMBE TAMBO ZA JKT TANZANIA NDIO ZILIWAPONZA
Klabu ya JKT Tanzania iliyowakaribisha Simba SC kwa maneno makali kabla ya mchezo, ikiwemo kuahidi kuwa Wekundu wa Msimbazi “hawatatoka salama” katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, imejikuta ikiondoka uwanjani hapo ikiwa na hasara ya pointi tatu. Katika mchezo uliochezwa jana, Simba SC walifanik

