Staa wa muziki wa kizazi kipya nchini, Harmonize a.k.a Konde Boy, amefunguka kwamba ubingwa wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho iliyotwaa Yanga msimu huu vimempa furaha kubwa kwani, kulikuwa na kelele na hila nyingi kabla ya msimu wa 2024-2025 kufikia tamati. Harmonize ambaye ni shabiki wa Yanga
Tetesi Za Usajili Simba Leo 2025/2026: Nani Anaingia? Nani Anatoka Msimbazi? Wakati pazia la msimu wa 2024/2025 likikaribia kufungwa, macho ya vilabu vikubwa barani Afrika tayari yameelekezwa kwenye dirisha la usajili, likiwa ni wakati wa kusaka vipaji vipya kwa ajili ya msimu ujao. Klabu ya Simba S
SIMBA SC katika anga la kimataifa msimu wa 2024/25 imegotea nafasi ya pili kwa kupoteza mchezo wa fainali dhidi ya RS Berkane ya Morocco. Katika dakika 180, Simba SC ilifungwa jumla ya mabao 3-1, bao la kufutia machozi kwa Simba SC lilifungwa na Joshua Mutale mchezo uliochezwa Uwanja wa New Amaan Co
Mchezo wa Ufunguzi wa kombe la mataifa ya Afrika kwa wanawake (WAFCON) kati ya timu ya Taifa ya Zambia dhidi ya wenyeji Morocco umemalizika kwa sare ya 2-2. Kwenye mchezo huo. Magoli ya timu ya Taifa ya Zambia yalifungwa na nahodha Barbra Banda na Rachel Kundananji huku ya Morocco yakifungwa na nyot
Klabu ya Azam FC Julai 5, 2025 imemtambulisha rasmi Florent Ibenge kuwa kocha mkuu mpya wa kikosi hicho, kupitia ukurasa wao wa Instagram kwa ujumbe mfupi lakini mzito uliosema: “Karibu Azam FC, kocha bora Afrika – Florent Ibenge.” Utambulisho huo umethibitisha kile ambacho mashabiki wa soka walikuw
Baba mzazi wa mchezaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta, Mzee Ally Samatta, amefariki dunia asubuhi ya leo, Julai 6, 2025. Msiba upo Mbagala, jijini Dar es Salaam, ambapo familia, ndugu, jamaa na marafiki wamekusanyika kuomboleza msiba huo mzito. Timu ya Global TV ipo eneo la tukio na i
Mchezaji wa soka wa kimataifa kutoka Ghana, Bernard Morrison, ametoa andiko la kugusa moyo kupitia ukurasa wake rasmi, akieleza safari yake ya mateso kutokana na jeraha la goti ambalo lilimweka nje ya uwanja kwa karibu mwaka mmoja. Katika andiko hilo, Morrison amewashukuru watu mbalimbali waliomsaid
Mwaka uliopita, Chama cha Umoja wa Vilabu Afrika (ACA) chini ya uongozi wa Eng. Hersi Said, kilifanikiwa kushawishi CAF kutoa dola 50,000 kwa kila klabu iliyoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) na Kombe la Shirikisho (CAF CC) katika hatua ya awali. Kwa msimu huu mpya, ACA imeendelea kupigania m
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe, ameonyesha kushangazwa na mauno ya Queen Fraison maarufu kama Bonge la Dada, kupitia video iliyosambaa mtandaoni. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Kamwe aliandika kwa utani: “Bora mimi nilikuwa naangalia nywele…” 😂😂😂😂 Kauli hiyo imeibua vich
KATIKA kurejesha kwa jamii wachezaji, Nassor Kapama ambaye ni kiungo wa Kagera Sugar pamoja na mshambuliaji wa JKT Tanzania, Mohammed Bakari ‘Muddy Beka’ Julai 12, mwaka huu wanatarajia kucheza mechi ya hisani ikiwa na lengo maalum la kusaidia watu wasiojiweza. Mechi hiyo imeeandaliwa maalum na nyot
BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga SC Dickson Job huenda akaongeza kandarasi nyingine ndani ya kikosi hicho. Nyota huyo mkataba wake msimu wa 2024/25 unagota mwisho. Kwa sasa bado hajaongeza mkataba mwingine na inaelezwa kuwa mazungumzo yameanza kwa pande zote mbili. Juni 29 2025 ulikuwa ni mche
Rais wa Yanga SC, Mkandarasi Hersi Said amechukua Fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Kigamboni lililopo Jijini Dar es Salaam. Hersi mwenye ushawishi mkubwa katika masuala ya soka amechukua fomu hiyo leo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Ikumbukwe Jimbo hilo liliondokewa na aliyekuwa Mbunge wake
UONGOZI wa Klabu ya Yanga SC umeweka wazi dhamira yao ya kuhakikisha wanarejesha nyumbani Kombe la CRDB Federation Cup, wakisisitiza kuwa wao ni mabingwa watetezi licha ya kupangwa kucheza dhidi ya timu ngumu, Singida Black Stars, kwenye fainali. Mchezo huo wa fainali unatarajiwa kuchezwa leo, Jumap
SIMBA SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids raia wa Afrika Kusini ipo katika harakati za kumsajili kipa wa JKT Tanzania, Yakoub Seleman katika msimu ujao. Kipa namba moja kwa sasa ndani ya Simba SC ni Moussa Camara. Ni hati safi 19 amekusanya msimu wa 2024/25 akiwa kipa namba moja mwenye hati n
KIUNGO wa Simba SC, Deborah Mavambo ambaye ni ingizo jipya katika kikosi hicho kwa msimu uliogota mwisho wa 2024/25 yupo kwenye mtego ndani ya kikosi hicho kutokana na kiwango chake kuporomoka mwanzo mwisho. Nyota huyo kwenye mechi za awali alianza kuonyesha ubora wake lakini kadri siku zilivyokuwa